Inaelekea Shilole anataka kufundisha wasichana wa mjini jinsi ya kuchuna mabuzi baada ya kuwaelekeza jinsi ya ‘Kukomaa na Jiji’. Muimbaji huyo wa mduara ataachia wimbo alioupa jina ‘Chuna Buzi’Mwanadada huyo ambaye alidai kuwa mwaka jana aliingiza zaidi ya milioni 100 katika show zake,ameandika katika mtandao wa Instagram: Tumekomaa na jiji!! Tukapata buzi! Sasa ni mwendo wa #CHUNABUZI#
Wimbo huo wa mipasho umetayarishwa na Mazoo Records na utatoka tarehe 31.1.2014
Tags
HABARI ZA WASANII