ANGALIA VIDEO MASHUHUDA WAKIELEZA JINSI ILIVYOKUWA.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura akiongea na wanahabari jirani na jengo la Derm lenye ofisi za Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam palipotokea mtikisiko leo.Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, akiongea na wanahabari baada ya mtikisiko kutokea katika jengo la Derm lenye ofisi za kampuni ya simu za mkononi ya Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam leo.
Tags
HABARI ZA KITAIFA