Mwaka 2013 umekuwa wa Miley Cyrus. Baada ya kuandikwa sana kufuatia performance yake na Robin Thicke kwenye MTV VMA, mrembo huyo amerudi tena kwenye headlines.
Sasa hivi ni baada ya video ya wimbo wake Adore You kuvuja na inamuonesha akiwa na bra na kufuli tu huku akijichezea kuamsha mzuka wa kujichua aka masturbation.
‘Some d**k leaked my video please only watch the official video #adoreyou,’ alitweet jana baada ya video yake kusambaa.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.