Wastara na Bond ambae ni mpenzi mpya wa wastara
Msanii nyota kwenye kiwanda cha Bongo muvi Wastara amepewa tahadhari kubwa na mshabiki wake kuhusu mpenzi wake mpya ambae ni prodyuza wa filamu aliyefahamika kwa jina la Bond Bin Sinnon kuwa amekuwa akipenda sana mapenzi kinyume na maumbile hakuna mfano.
Habari za uhakika zilitua ndani ya blog yetu zinasema Bond ambae aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya Miaka 4 na nusu na Mtangazaji Lulu Semagongo ambae kipindi flani Lulu aliwahi kukiri kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile tangu akiwa mdogo.
Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni dhahiri kuwa Wastara awe makini la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia yake hiyo aliyokuwa anaifanya kwa Lulu.
Chanzo chetu kiliendelea kuluiza kuwa Bond ambae tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa na mpenzi hata siku moja" Huyo Bond anaogopwa sana na mabint kwa sababu ya kauri ya Ant Lulu alipotangaza kuwa yeye mzuka wake ni kifanya mapenzi kinyume na maumbile hivyo hakuna msichana yeyote anaemkubari kwa hofi hiyo hivyo hata Wastara tunashangaa wamepatana kiasi hicho" Kilisema chanzo hicho.
Mahusiano ya Bond na Wastara yalianza kwa siri sana lakini hivi sasa kila kitu wazi hadi ndugu wa Wastara wanamjua bond kama shemeji yao, Mapaparazi wetu walifunga safari hadi Tabata jirani kabisa na anapoishia Wastara ili kupata umbea ambapo majirani hao walifunguka"Aaah na nyie waandishi mko wapi siku zote bwana? Wastara na Bond ni mke na mume mbona wala hakuna kificho tena Wastara sasa amerejesha furaha ya maisha kwa malavidavi ya Bond ambapo wanaishi pamoja kupika na kupakua" Alisema jirani huyo aliyejitambulisha kwa jina la Amina
Aidha mwanzo wa mahusiano ya wawili hayo hayana tofauti na yale ya Pennie na Diamond ambao walianza kufanyia interview kwenye kipindi na baadae wakageuza na kuwa wapenzi kabisa hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Wastara na Bond.
source: xdeejayz blog
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.