Unknown Unknown Author
Title: WAKAZI WA WILAYA YA KINONDONI DAR, WAJITOKEZA KWA WINGI SEMINA YA FURSA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Isaya ni mlemavu asiyeona ambaye ni mtaalam wa mambo ya IT Semina ya fursa leo imewafikia wakazi wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Sala...

clip_image002Isaya ni mlemavu asiyeona ambaye ni mtaalam wa mambo ya IT


Semina ya fursa leo imewafikia wakazi wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kufanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ubungo Plaza. Miongoni mwa waliokuwa wazungumzaji leo ni pamoja na Mkuu wa wilaya ya Iramba, Yahaya Nawanda, Mwanzilishi wa mtandao wa Jamii Forums, Mike Mushi, Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Kelvin Twissa, Mkurugenzi wa Benchmark Productions na wengine. Tazama picha za semina hiyo.

clip_image002[5]Joseph Mgaya, technician wa kujitegemea na pia anamiliki karakana yake

clip_image002[7]Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Kelvin Twissa akiongea kuhusu masuala ya masoko kwenye biashara

clip_image002[9]Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Fatma Ally

clip_image002[11]Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahaya Nawanda

clip_image002[13]Mwanzilishi na mmiliki wa mtandao wa Jamii Forums, Mike Mushi

clip_image002[15]Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto

clip_image002[17]Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions na mwanzilishi wa shindano la Bongo Star Search, Rita Paulsen

clip_image002[19]Rita Paulsen na Mrisho Mpoto

clip_image002[21]Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba

clip_image002[23]Salim Khalfani kutoka NSSF

clip_image002[25]Yona Daniel Joram, Bwana Shamba

clip_image002[27]Mfanya Biashara wa Mitumba Bi Sachko

clip_image002[29]

clip_image002[31]

clip_image002[33]

clip_image002[35]

clip_image002[37]

clip_image002[39]

clip_image002[41]

clip_image002[43]

clip_image002[45]

clip_image002[47]

clip_image002[49]

clip_image002[51]

clip_image002[53]

clip_image002[55]

clip_image002[57]

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top