SHIRIKA LA TANESCO LACHAFUA HALI YA HEWA KWA WATEJA WAKE HUKO TWITTER, CHEKI HAPA

clip_image002
Haya sasa hii inaleta utata kwakweli Shirika kubwa na muhimu kwa jamii ya kitanzania hadi leo haijaweza kutanabainisha ni acount gani ni official na ipi ni fake, hii inaweza kuleta mkanganyiko hasa kipindi hiki kigumu cha mpito wa mgao wa umeme,
Leo katika Pitapita zangu katika Mtandao huu wa Kijamii wa twitter nikakutana na hizi tweet kutoka katika moja ya Acount  hizo hapo juu ambazo kwakweli hazileti maana kama zinatolewa na shirika hili kwa wateja wake ambao wanaumizwa na mgao huu wa umeme kwa sasa..
Hebu Jionee mwenyewe na kisha tujadiliane kwa pamoja kuhusu hili jambo.
 clip_image002[7]
clip_image002[9]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post