Taarifa hii tumeipokea kutoka kwa Mwanadada Salama A. Jabir Ikitaarifu kuwa account ya Ambwene Yessaya Ya twitter yenye jina la @AY Tanzania imekuwa Hacked na Mahacker hivyo wanaomba msaada wa Pesa. Tafadhali Usidanganyike na Ujumbe huo
Tags
HABARI ZA WASANII
