HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA PALE LEADERS CLUB KATIKA SHOW YA P-SQUARE

DSC06833Watu walifurika viwanjani hapo kushuhudia show ya kimataifa iliyofanywa na wakali wa bara la Africa haop unawazungumzia Pater na Paul Okoye kwa pamoja unaweza kuwaita P-square

DSC06837Washindi wa Dance Mia Mia ndio waliofungua Show usiku huo

DSC06840Mkali wa RnB Bongo Ben Paul alifuata kwa show ya nguvu

DSC06843

DSC06851Unaambiwa ulikuwa usiku wa wakongwe wa muziki bongo, Komando Jide alitawala vilivyo jukwaa hilo huku akipewa saport na ma dancer wake

DSC06854Huwezi kumsahau the HeavyWeight Mc unaweza kumwita Prof. Jay nae alidondosha bonge la perfoma katika stage hiyo na kukonga nyoyo za mashabiki

DSC06864Mwamba wa kaskazini kutoka RiverCamp Soldier unaweza kumwita Joh Makini alitawala jukwaa vilivo na kuzoa shangwe za nguvu kutoka kwa wapenda hip hop walio hudhuria show hiyo kali ya kimataifa.

clip_image001[1]

clip_image001[3]

clip_image001[5]

clip_image001[7]

clip_image001[9]

DSC06884Baada ya Kupiga hits zao kadhaa wakali hao ulifika muda wa kumtafuta beautiful onyinye na ndipo walipompata na kumpatia zawadi ya Saa ya mkononi

clip_image001Huyu ni binti wa kitanzania aliyebatizwa jina la beautful onyinye na kundi la p-square, mwanadada huyu alipata nafasi hiyo baada ya wakali hao kumchagua na kumwita stejini kuperform nao stejini na pia walimzawadia zawadi ya saa

clip_image001[5]

clip_image001[7]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post