BREAKING NEWS : PAPII KOCHA na BABU SEYA WAREJESHWA JELA MAISHA BAADA YA WASHINDWA TENA

clip_image002Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi.Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.
clip_image001
Mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'.
clip_image002[1]Vilio vilitawala Mahakamani hapo mara baada ya hukumu hiyo kupita, wasanii wengi na wananchi walijitokeza kusikiliza rufaa ya kesi hiyo lakini waliondoka na majonzi
clip_image002
clip_image002

clip_image002[7]
clip_image002[9]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post