Mwanamuziki wa kike wa Pop, R&B na Dance Hall kutoka Barbados, mwana dada mrembo Rihanna ametangazwa rasmi kua mmoja ya wasanii wenye watazamaji wengi wa kazi na matukio yake katika mtandao wa YouTube baada ya kufikisha HITS Billion 4.
Tags
HABARI ZA WASANII