MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA DILLISH AKUTANA NA BABA YAKE MZAZI KWA MARA YA KWANZA TANGU KUZALIWA

clip_image001Dillish’s getting birthday present from her father, Abdi Guyo“Mom, Dad, me and Stephan!!” – Dillish

“Thank you all so much for the Birthday Wishes mwaaah!!”- Dillish

“The dance with my dad was priceless” – DillishMshindi wa Big Brother Africa 8 (BBA The Chase) mrembo kutoka Namibia Dillish Mattew amekutana na baba yake mzazi kwa mara ya kwanza tangu azaliwe wakati akisherehekea birthday ya kutimiza miaka 23.

Baba yake huyo, Abdi Guyo, kutoka Kenya alikutana na mama yake Dillish alipokuwa Namibia alipokuwa mmoja wa wanajeshi wa Kenya waliokwenda nchini Namibia kulinda amani.

Alirudi Kenya baada ya muda wa kukaa Namibia kikazi kuisha na kumuacha mama yake Dillish mja mzito, na kupoteza naye mawasiliano miezi kadhaa baadaye.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post