Unknown Unknown Author
Title: KUZINDULIWA KWA SHINDANO JIPYA LA TANZANIA TOP MODEL.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Jackson M. Kalikumtima, Mwenyekiti Mtendaji Shindano la Tanzania Top Model limeanzishwa ili kuziba ombwe lililoko la kuwatafuta,  kuwatayar...

clip_image001Jackson M. Kalikumtima, Mwenyekiti Mtendaji

Shindano la Tanzania Top Model limeanzishwa ili kuziba ombwe lililoko la kuwatafuta,  kuwatayarisha na kuwatafutia mikataba wanamitindo wa kitanzania ambao ndoto zao zimekuwa ni kufanikiwa na kuwa wanamitindo wa Kitaifa na Kimataifa. Ni shindano litakalo wajenga na kuwafanya wajiamini na waaminiwe kwa kazi mbalimbali. Hiki kitakuwa ni kichocheo kingine cha kuitangaza nchi yetu katika mavazi na sanaa nyingine kimataifa na kuwa chimbuko la nyota nyingine katika dunia ya Wanamitindo hapa nchini.

Mashindano ya kumtafuta Tanzania Top Model si mashindano ya kawaida kama tulivyo zoea mashindano ya kuwakutanisha Washiriki na kupima Mshiriki aliye bora tu kuliko wenzake, bali ni Mashindano ya kumtafuta Mwanamitindo bora tena wa Mfano hapa nchini. Haya ni mashindano yatakayo ruhusu Jamii/ Wananchi/ Wadau kushiriki kuchagua mshindi kwa kiwango Fulani.

Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top