Wasanii AY, Mwana FA pamoja na J Martins wameshoot video ya ngoma yao ambayo inafanya poa sana kwa sasa huko Afrika Kusini, dalili nzuri kuwa soon... flavor ya ngoma hii itaanza kufurahiwa na wapenzi wa muziki kupitia TV pia.
Kutoka katika picha za behind the scenes za tukio hili, Vifaa pamoja na team ya production ya kazi hii vinaashiria kuwa Video ya Bila Kukunja Goti ni kazi nyingine kubwa na iliyo katika kiwango cha kimataifa ambayo wasanii hawa, watadondosha kwa mashabiki soon.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.