Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI: “PLAY BOY” SEHEMU YA SABA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai) Sehemu: 7 Mtunzi: Andrew Carlos Simu: 0713 133 633 Ilipoishia jana… Niligeuka na kumuangalia kwa jicho...
clip_image002Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai)
Sehemu: 7
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: 0713 133 633

Ilipoishia jana…
Niligeuka na kumuangalia kwa jicho la dharau tena kimya bila ya kumjibu chochote..
Nilipofika home tu kabla cjaelekea chumbani nikakutana uso kwa uso na baba sebuleni na alikuwa na hasira kama mbogo..,
"..jeff..? kuja hapa...?"
"..naam baba...!"
"...embu niambie mwanangu unamatatizo gani wewe...?"
"...hapana mzee"
Songa nayo….
Sikutaka kusikiliza cha zaidi nikaingia mpaka chumbani na kumkuta jacky kapumzika,
"jef mpenz.."
"unasemaje..?"
"...mbona upo hivyo jamani...?"
"wee..? wee...? wee...? tena koma kunifuatilia na nataka uniambie kitu kimoja..."
"kitu gani jeff...?"
"...jacky nataka nikutoe hiyo mimba sasa hivi.., hutaki potea hapa..."
"unasemaje jeff...? Kwa taarifa yako mimba sitoi hata ufanyaje.., siwezi kuua kiumbe kisicho na hatia jeff..."
"sasa na mi mzee kashanifukuza, na hapa unaponiona sina mbele wala nyuma nitalea na nini...?"
"...na ulivyonipa mimba ulitakaje..?"
"..nitakutandika mabao sasa hivi mshenzi mkubwa wee...!"
"nipige t lakini sitoi kitu hapa.."
Hasira kali zilinishka nikajikuta nimempiga jacky bonge la kibao nakumfanya alie kwa sauti ya juu,
"...nimesema nyamaza..?, nyamaza huko pumbavu..."
"jeff kwanini unanionea jeff...? Nipo tayari kukitetea kiumbe kisicho na hatia.."
Nikaona anataka kama kunipotezea muda,fasta fasta nikachukuwa bomba la sindano nakuvuta dawa iliyokuwa kwenye kichupa kisha..,
"...jacky ujue nakupenda tena sana tu..,ila nahitaji unikubalie hiki ninachotaka kukifanya.."
"kitu gani..?"
"...ili niweze kuendelea kuwa na wewe daima pliz nikubalie niweze kuku..."
Kabla sijamalizia kumwambia ghafla hodi ikapigwa tena kwa nguvu huku nikiisikia sauti ya baba kwa mbaaali ikiniita..
"...jeff si nimekwambia utoke huko muondoke..,sasa bado mnafanya nini huko..?"
Nilivichukuwa vile vitu nakuvitupa kitandani kisha nikaenda kufungua mlango ili nimsikilize mzee,.
"..jeff nakupa dakika 10 tu uwe umeshapotea ndani ya nyumba yangu na huyo mjinga mwenzako.."
"sawa baba..."
Nilichukuwa nguo zangu nakuziweka kwenye begi kwa upande wa jacky hakuwa na nguo zozote zaidi ya zile alizovaa..,nilipomaliza nikatoka na jacky huku lengo kubwa ni kwenda kutafuta chumba magomeni tena ile mitaa aliokuwa anaishi mshikaji wangu aliokuwa akinipa ufunguo getto kwake,kwa bahat nzuri tulipotoka nje baba alikuwa chumbani amelala hvyo aliyetuona ni maza peke yake..,
"..jeff mwanangu..?"
Nakuonea huruma sana mwanangu ila usijali utakapopata chumba uniambie kwenye simu,
"pouwa maza.."
Maza alinifuata nakunikabidh sh. Elfu 80,
"jeff mwanangu hiyo itakusaidia huko uendako.."
Nilijihisi tofauti kabisa ila nilijipa moyo kwani mi mtoto wakiume sikati tamaa..
~ Ndani ya Magomeni ~
Tulichokifanya na jaky wangu nikulipia guest huku akili ikiwa ni moja tu katika kutafuta mshiko ambapo utanifaa katika kutafuta getto..,
Usiku kucha kwangu ulikua ni wa mawazo kwa kwenda mbele hata simu niliiona chungu., sikupata mzuka wa aina yeyote zaidi ya kulala mzungu wa nne mi na jacky.
Ubaridi mkali uliokuwa umeanza, ulinisababisha kuvuta sana shuka langu nakujikunyata, Niliupenyeza mkono wangu mpaka kwenye begi nakuchomoa sindano kisha nikavuta dawa na kumvua nguo jacky taraaatibu ambapo alikuwa ameshapitiwa na usingizi tena fo fo fo,hapo hapo nikatumia mwanya huo, nikamchoma kwa nguvu uku nikiminya ile dawa iishe yote kwenye makalio yake..,
"jeff unaniua..? jeff..? jeff..?"
Nikamshuhudia jacky akitapatapa kama mtu anayetaka kufa kisha akanyamaza kimya..,
Hofu kubwa ikaanza kunitanda huku akili ikinituma huenda nilipewa dawa feki ambazo si za kutoa mimba..,ile namkagua jacky macho yangu yakakutana na damu zilizoanza kumchuruzika huku mashuka yale ya guest yakibadilika rangi nakuwa mekundu kwani damu ilikuwa imeshatapakaa eneo lote pale..,
"jacky..? jacky..? jacky..?"
Kimyaa.., mapigo yake ya moyo yakawa hayadundi tena mdomo kauacha wazi huku akikakamaa mwili wote ukimganda..,
" ...j a a a a a a a a a a c k y..."
"...wee jeff vipi mbona unapiga makelele mwenyewe...?"
Nilishtuka usingizini huku jasho likinitiririka na breki ya kwanza nikuyaangalia vizuri yale mashuka kama yamechafuka lakini haikuwa hivyo..,
"...mungu wangu kumbe zote ilikuwa ni ndoto tu.."
Aibu kubwa ilinishika hhvyo sikuwa na jinsi zaidi ya kugeuka upande wa pili nakulala naye huku nikimkumbatia mpaka asubuhi..,
~ Asubuhi ~
Kulipokucha tu breki ya kwanza ilikuwa nikumtumia sms helleiner tena bila kuonesha woga wowote..,
' hellow baby nimekumis ile mbaya.., upo...?'
Ndani ya sekunde chache akawa ameshanijibu..
'mi mzima nimekumis sweety wangu.., natamani hata ningekuona..'
Sikutaka tena kumjibu ile meseji yake zaidi ya kuingia chooni nakumpigia huko huko..
"...hellow helleiner wangu..."
"yap mambo jeff..."
"..pouwa nina matatizo mwenzako helleiner wangu..."
Matatizo gani tena mbona unanitisha hivyo jeff..."
"...samahani lakini japokuwa sijawahi hata kukwambia siku moja lakini imenibidi kukwambia leo..."
"...niambie jeff mbona unanitisha..., kitu gani kwani...?"
"...helleiner mwenzako hapa nilipo nimekwama kipesa sasa sijui kama utaweza kumisaidia...?"
"...aaahh jeff wangu kwa jinsi ninavyokupenda..,swala la pesa wala usiwe na shida mpenzi.., ni sh.ngapi..?"
Nikajifikiria kama sekunde tano hivi then nikampa jibu..
"nashida ya sh. Laki 2 na nusu..."
"...usijali mi nitakupa laki 3 na nusu na tena wala sihitaji unirudishie jeff..."
"..thanx..! thanx my baby.., mwaaah..! mwaaah...! mwaaah..., so...?"
"...baadaye tukutane ili twende benki lakini ni CRDB tukachukuwe"
"...pouwa wangu usijali.."
"ok.., baadaye basi..."
"ok..,i love you jeff..!"
"me too baby...!"
Nilikata simu huku nikiwa na mzuka wa hali ya juu..
Fasta fasta nikaingia hadi bafuni nakuoga kisha nikipotoka nikajipigilia pafyumu, full pamba kisha nikampatia jacky kama sh. Elfu 10 ya kula mchana kwani sitakuwepo..
"unasemaje jeff...? Unaenda wapi...?"
"...jacky naenda kutafuta ,hela ikiwezekana na kuwapata madalali ili watutafutie eneo la kuishi..."
"...kama nikutafuta hizo hela tutaenda wote na hao madalali tutawatafta wote..."
Nimeshasema mimi uwe unaniskia jacky..? Baki hapa nitarudi mchana.."
"jeff mguu wako.., mguu wangu.., hapa haachwi mtu..."
"....sasa nimeshasema ole wako unifuate..."
"jeff...? Jeff kwanini unataka kunikimbia mpenzi wangu...? Enhh...? Nimekukosea nini mimi..."
Jacky alianza kulia kwa uchungu huku akiwa hajiamini amini kama naenda nakurudi..,
"nielewe jacky mpenzi narudi pliz pliz pliz...?"
Niliona kama kaanza kulegea japokuwa mchozi mwingi ulikuwa ukimdondoka na tumbo lake lililokuwa limeanza kuwa kubwa lilichochea hisia zake nakumfanya aniwahi kunishika miguu yangu..,
"...hapa jeff huondoki..."
"...achia miguu yangu nakwambia.., achia jacky achiaaa...?"
"siachi..."
"achiaaaaaaa...?"
Hasira zikanipanda nakujikuta nikimrushia mateke mpaka mwenyewe akaniacha nikafungua mlango wangu huku nikimwacha akilia mpaka kwi kwi ikimbana..
~ Ndani ya Benki ~
Mishe mishe zilifanikiwa kwa asilimia zote kwani nilifanikiwa kukutana na helleiner ambapo tulienda mpaka ATM za crdb nakutoa kiasi cha pesa nakunipa sh. Laki 3 na nusu..,
"jeff elewa nakupenda sana na pliz usije ukanisaliti...!!"
"...usijali kwa hilo mpenzi nipo pamoja nawe milele daima..."
Nilimdanganya pale kisha nikaagana naye huku akili kubwa ikiwa nikuwatafuta madalali..,
Nilifanikiwa kumpata dalali mmojawapo nakumkabidhi sh.elf 5 kwa ajili ya kunitafutia chumba cha bei rahisi siku hiyo hiyo kisha nikaenda mpaka manzese nikanunua godoro nakuchukuwa teksi kuelekea kwenye ile guest niliomwacha jacky wangu..,
Ile namalizana na dereva tax tu pale nje ya guest mara macho yangu yakakutana uso kwa uso na michelle sura mbaya akiingia mule ndani ya guest lakini hakuniona ila mi nilimuona..,
Kwa jazba nilijikuta nashuka huku naropoka,
"michelle...? michelle....?
niliendelea kumwita kwa nguvu lakini alinitolea macho kwa dharau kisha akanifyonza nakunibenulia domo lake,
"...we mpumbavu nini...? Wakaka wengine bhana..?"
Dah mzee mzima lilinishuka huku nikimtolea macho michelle sura mbaya ambaye alikuwa na mwanaume tena alikuwa anaonekana mtu mzima..
Niliachana nao kisha kilichofuata nikuingia chumbani kwangu moja kwa moja, nilimkuta jacky wangu kapitiwa kabisa..,
"...jacky..? jacky mpenzi..?"
"...abeee..!"
"...vipi mbona umenyong'önyea hivi..? Umekula..?"
"hapana..."
"..oh shiit..!!, kwanini jamani mpenzi wangu wakati hela ya msosi nilikupa..."
"hapana jeff.., sijickii kula kwa sababu yako..."
"ok, usijali mpenzi wangu nipo na itatubidi na leo tuongeze siku humu humu ndani mpaka kesho ndio tutahama..."
Nilitoka mpaka nje nikachukuwa godoro langu nakurudi mpaka mapokezi kwa dhumuni la kulikabidhi pale mapokezi.., nilipofika tu nikamkuta michelle sura mbaya..,
"..ndio matatizo ya kuja kwenye vijigesti vya uchochoroni.., ona sasa mnashindwa hata kuweka sabuni za kuogea eti mnaweka sabuni za mbuni duh.., enhe.., heee... heee...!!!"
Michelle sura mbaya alikuwa akibishana na yule mtu wa pale mapokezi..,ilinibidi kumsikiliza mpaka aondoke ndipo na mimi nimwambie huyu mhudumu kuhusiana na kulihifadhi godoro langu..,
"...eenh jeff...? Mambo...?"
Alijifanya kuniongelesha lakini nikabaki namtolea macho bila ya kumjibu chochote...,
"...jeff mpenzi sinaongea n wewe...?"
Bado niliendelea kukaa kimya huku nikimtolea macho ya dharau..
"...utake usitake mi ndio michelle yule unayemfahamu..."
Aliondoka pale huku akinitingishia makalio yake nakuelekea chumbani alipokuwa na jibaba lake..
"...wasichana wengine wanamatatizo kweli mungu awasamehe tu..."
Nilijikuta namwambia hayo maneno yule dada wa pale mapokezi kisha nikamkabidhi godoro langu nakuingia chumbani kwangu...
~ Usiku wa manane ~
Makelele yaliokuwa yanasikika juu ya bati iliashiria kuwa kuna bonge la mvua kwani ukiachana na milio ya radi ni ubaridi mkali uliokuwa ukipenyeza kwenye boxer yangu huku nikimkumbatia mchumba wangu jacky..,nilianza kupata hisia ambapo nilianza kumpapasa mwili wake uliokuwa na joto kali huku nikila denda taaratibu..,tulitekenyana sana ikiwa ni pamoja na kumshikashika maziwa yake yaliokuwa yamekakamaa kuashiria kuwa mimba imeanza kukomaa.., tukiwa bado kwenye mahaba mara simu yangu ikaingia meseji...,
' ...Jeff hili zee hata halinidhishi.., limenichezea lakini haliwezi hata kusex.., nataka kusex na wewe sa hivi pliz...'
Niliisoma nakuifuta fasta fasta kabla jacky hajagundua kitu kisha nikamjibu..,
' ...You are stupid...!! tena fala kabisa.., fuck you..!!'
Nikamtumia kwa hasira huku nikiiweka simu yangu pembeni..
Niliendelea kumshika shika jacky wangu huku nikimparua kwa kucha zangu nakumfanya asisimke mwili wote..,mara tena sms ikaingia..,
"...jeff embu zima lisimu lako bhana.."
Ilikuwa ni sauti ya jacky akionesha kukerwa na meseji zinazotumwa..,
'...jeff upo wapi na nani muda huu..?'
Alikuwa ni helleiner na akili moja kwa moja ikanituma niende chooni nikampigie kabla hajapiga huku kisingizio kikubwa kikiwa nitumbo limenisumbua ghafla hivyo nikamdanganya jacky nakukimbia mpaka chooni kisha nikampigia..,
"..hellow baby.."
"..jef upo wap mpenzi..?"
Nipo home mbona nimelala..?
"aru sure jeff...?"
"sure i am.."
"real...?"
"nikudanganye nini sasa...? Nipo nimelala nyumbani.."
"jeff..? jeff..? jeff..? nimepigiwa simu nimeambiwa upo guest huko magomeni sasa hivi umeonekana na mwanamke una..."
Kabla hajamalizia kuongea chochote nikamkatia simu..,haijakaa muda mara ikaita tena..,
"umenikatia simu enh..? Jeff unataka nikupendeje we jamani..? Yani kumbe ulitaka hela ya kuwahonga hivyo vijisichana vyako enh...?"
"helleiner..? helleiner..? nielewe sipo guest nakama unabisha njoo home sa hivi..."
"..sio home kwenu tu nakuja hadi hapo guest uliopo..."
Nilimkatia simu nikaona kama ananizingua.., pale pale nikaizima simu kabisa kisha nikarudi mpaka chumbani.
"..mpenzi vipi mbona umekaa muda mrefu hivyo..?"
"...tumbo lilinivuruga sana pia najishangaa nilikuwa natapika sana..."
"...pole sana haya zima hiyo taa tulale mpenzi.."
Nilijitahidi kutafuta usingizi lakini bado kichwa changu kikawa kizito sana kwani nilikuwa na mawazo sana tena ya vitu vingi sana..
Ndani ya kama dakika 40 nilianza kuhisi kama kausingizi kakinipitia huku kichwa changu kikiwa kifuani mwa jacky wangu.., mara hodi ikaanza kupigwa..,
"nani..? Naani..?"
Jacky akauliza kwa sauti ya juu..
"jeff nifungulie pliz.."
Jacky akanitolea macho tena kwa hasira akaniuliza..,
"jeff ni nani huyo anabisha hodi..?"
"jaman simjui.., achana naye usiku huu tulale tu mpenzi wangu.."
"hapana jeff mpaka nimjue.."
Nilimvuta sana jacky asiende popote tulale lakini akawa mbishi hivyo nikamwacha akaenda mpaka mlangoni kufungua...
"...we ndio unatembea na wanaume za watu enh...? Na leo ama zako ama zangu...
“..hapana sio mi..m…”
"...umezoea kuchukuwa waume za watu enh...? Si nakuuliza wee..."
"..hivi wee dada unamatatizo gani..?"
Nilibaki kimya nawasikilizia jacky aliyekuwa anagombana na mtu ambaye sikumfahamu kwani alikuwa amefichwa na mlango.., kwa sauti nilikuwa naifananisha tu kama siyo helleiner basi atakuwa ni michelle sura mbaya..
Mara nikasikia kama mtu kapigwa kofi kwa nje huku akitoa sauti kali ya kulia..,
"..mshenzi mkubwa we wa waume za watu.."
Nilishindwa kuvumilia kidume mimi ikanibidi niende mpaka walipo ili niweze kugundua ni mtu gani anayempiga demu wangu jacky..,
"..nimesema mwache.., mwacheee...!! malaya mkubwa we tena nenda kwa jibaba lako uliokuja nalo..."
"jeff..? jeff unanifanyia mimi hivi...?"
Kumbe alikuwa ni michelle sura mbaya na kwa muda huu alikuwa ameshamuadhibu jacky vya kutosha kwani alikuwa akilia huku kaegemea ukuta tena mwekundu mashavuni mwake kuashiria kapata kipigo kikali toka kwa michelle sura mbaya..,
"jacky mpenzi embu ingia ndani achana na huyu mpumbavu asiye na akili..."
Jacky alinielewa nakuelekea chumbani huku akiniacha na michelle sura mbaya pale kwenye kakorido...
"michelle hivi unaakili sawa kweli wewe...?"
"kwanini jeff mpenzi wangu.."
"...toa hilo neno la mpenzi.., Msenge mkubwa wee.., we unajijua umekuja na lijibaba lako then unakuja kuleta ugomvi na demu wangu..."
"...jeff si nilikwambia hilo jibaba lenyewe hata halijaniridhisha...?"
"sasa..? Unachotaka kwangu nini..?"
"..nataka ni sex na wewe jeff..."
Hasira zilinizidia nakujikuta nimemtandika bonge la kibao..,
"...jeff hata unipige vipi..? Kusex na mie leo uta sex tu taka usitake...!!"
"..hivi wee michelle unaakili zote kweli..?"
Sikuamini macho yangu kwani alikimbia nakuingia chumbani kwangu fasta kisha akalishusha godoro langu lile jipya nililonunua..,akavua nguo zake zote nakubakiwa uchi wa mnyama na shanga zake zilizokamatia kiuno chake..,
Sikuwahi kumuona michelle sura mbaya akiwa na shanga kiunoni ndio leo.., alifungua kapochi kake kadogo kisha akatoa kitu kama unga na kumeza kisha baada ya hapo akanifuata nakunipulizia kitu usoni mwangu nakuniambia..,
"...jeff nakupenda na lazima utanioa mimi tu sio yule pale mzoga wako au helleiner..."
Nilijikuta nalegea ghafla nakuanza kuitikia kwa kichwa nikimaanisha nakubaliana na anachokisema..,
"noo.., noo.., no jeff usifanye hivyo pliz mpenz wangu bado nakupenda na natarajia tulee wote hii mimba mpaka mtoto.."
Ilikuwa ni sauti ya jacky ikionesha kuwa haikubaliani kabisa na anachokiongeaa michelle sura mbaya..
"...michelle..? nakupenda pia, tena sana mpenzi wangu...?"
Sikuwa najitambua kabisa.., taaratibu nikavua suruali yangu ikifuatiwa na boxer kisha nikaenda mpaka kwenye godoro pale chini nakuanza kulala na tayari kwa ku sex na michelle sura mbaya...,
"...no jeff usifanye hivyo pliz..!! pliz...!! Nionee huruma jeff..."
Sikumuelewa kabisa jacky anachomaanisha akawa ananifuata pale chini kwenye godoro lakini kabla hajafika michelle akampulizia kitu..,nikashangaa anarudi kitandani kwake huku akiwa mpole na kimya..,
Nilianza kumshika shika michelle sura mbaya huku tukifurahia.., nilimpa mapenzi moto moto tena kwa kila style.., nilijihisi kama niko dunia nyingine..,
"...Ooh..! jeff..!! jeff..!! one more pliz...?"
"..Don't worry baby..!!"
"..ok., ok.., You are so s e e e x y jeff my love..."
"oh.., oh.., thanx..! thanx..! thanx..!"
Niliendelea kufurahia sex na michelle sura mbaya huku jacky akituangalia kitanda cha pembeni na usoni mwake alionesha kutokwa na machozi mengi bila ya kusema neno lolote..
"...michelle inatosha pliz..! pliz..."
"noo.., noo jeff tena pl i i i i zzz..!!!, unajua ku sex jeff ingiza tena pliz..!! pliz..!!"
Nilijikuta naendelea ku sex tena huku nisijijue idadi ya mabao niliompiga michelle sura mbaya..,tukiwa bado tunaendelea na sex mara nikamshuhudia jacky akisimama kama anataka kuja tulipo mara akadondoka hapo hapo alipo nakuanza kutapa tapa na kukamaa mwili wote mithili ya mtu anapopiwa na shoti ya umeme, bila ya kutoa neno lolote akaganda..,
"jeff vipi..? Unashangaa nini..? Tuendelee tena pliz...!!"
Nilijikuta sichoki hivyo tukaendelea tena ku sex huku jacky akiwa ameshakauka pembeni yetu...,
Mara mlango ukafunguliwa....


**** Kweli Jeff Play Boy unavyodhani kwanini ameamua ku Sex kwa mara nyingine na Michelle..??

*** Na je vipi kuhusiana na Jacky inamaana Ataendelea kuwa na Jeff au ataamua kuachana naye..?

**** Endelea ku LIKE ku SHARE na hata ku COMMENT simulizi hii kali na ya kusisimua kila kukicha.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top