PICHA:HIVI NDIVYO SHETANI ANAVYOENDELEA KUITEKA DUNIA,NI UGANDA'S BIKINI CAR WASH FESTIVAL JIONEE MWENYEWE YAANI TUPU..!!

Ikiwa zimebakia siku tisa za mfungo mtukufu kwa waumini wa Dini ya Kiislam, Nchini Uganda watu wameendelea kumtukuza shetani kwa kufanya party ya Vichupi huku wakiipa jina UGANDA’S BIKINI CAR WASH FESTIVAL. Tunaelekea wapi jamani..Je hii ni ishara gani?Ni balaa tupu...!!!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post