Unknown Unknown Author
Title: KUMBUKUMBU: EDDA JOSEPH PANJA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
EDDA JOSEPH PANJA (MRS PETER MALEKELA) AMEZALIWA 28/10/1960 – 06/08/2012 Tumehesabu siku, mawiki, miezi, hadi sasa ni mwaka mmoja tang...
EDDA JOSEPH PANJA (MRS PETER MALEKELA) AMEZALIWA 28/10/1960 – 06/08/2012
Tumehesabu siku, mawiki, miezi, hadi sasa ni mwaka mmoja tangu ulipotutoka tarehe 06/08/2012 katika hospitali ya mkoa morogoro. tunakukumbuka kwa wema wako, ushauri na mchango wako kwa familia yetu. mimi mumeo peter malekela watoto baraka, maria, beatrice, baba yako mzazi joseph panja, dada yako sophia na shemeji yako mtoi. wote wanakukumbuka aidha shukrani ziwaendee madaktari wa hospitali ya mkoa wa morogoro na shukrani za pekee zimfikie dr. Mwaipaja wa shirika la mzinga morogoro waliojaribu kuokoa maisha yako bila ya mafanikio.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.


About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top