Tarehe kama ya leo 07/08 mwaka 1998, Balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania zililipuliwa kwa milipuko ya mabomu. Ni miaka 15 imepita sasa.
Leo, tarehe 07/08/2013, Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta umekumbwa na janga kubwa la moto. Hizi ni tarehe mbili kubwa zenye historia kwa nchi ya Kenya.
Tunaungana na Wakenya kutoa pole kwa janga hili lililowakuta. Ungana nasi kutoa pole.
ANGALIA VIDEO YA MOTO ULIOLIPUKA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA LEO ASUBUHI
Tags
HABARI ZA KITAIFA