HIVI NDIVYO WEMA SEPETU ALIVYO SHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

clip_image001Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake wote wawili na kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni pamoja kupiga nao story nyingi. Picha kama hii haijawahi kutoka ikimuonyesha Wema akiwa na wazazi wake wote wawili. Mara nyingi anakuwaga na mama yake na mara moja alionekana kuwa na baba yake.clip_image002

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post