Mchezaji Samwel Eto'o amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea timu ya Chelsea na atakuepo uwanjani katika mechi kati ya Chelsea na Bayen Munich katika mchezo wa Super cup Ijumaa.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...