ZWERA MORE kutoka kigogo DAR ES SALAAM,TANZANIA.
Ni msanii anaechipukia katika gemu hii ya muziki hivyo anaomba sapot yako kwa kupokea kazi zake. Na hii ni moja ya Kazi yake ambayo aefanya chini ya Studio ya Nexus Music na yupo Chini ya Lable ya TIZNIZ ENTERTAINMENT waweza wasiliana nae kwa Nama Zifuatazo: +255716801414, +255658181091
Sikiliza Moja ya Kazi yake:
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.