Afisa Habari Mkuu wa Idara ya Habari- MAELEZO Anna Itenda akikata keki wakati wa hafla fupi ya kuadhimisha miaka 95 ya kuzaliwa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Nelson. Keki hiyo iliandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO.
Tags
HABARI ZA KITAIFA