Huyu ni yule shabiki aliepata umaarufu kwa kurekodiwa huku akilia kutokana na kichapo cha timu yake anayoipenda ya Dar young african kufungwa magoli matano na Wapinzani wao wa jadi Simba Sport Club. Tarehe 28/7/2013 amekuja na kituko kingine mi nasema huyu jamaa anakipaji cha Komedi hebu Jionee mwenyewe video hii hapa Chini Kisha Niambie kama nimemuweka mahala si pake…
Tags
VIDEOS