Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI: “PLAY BOY” IKIWA NI SEHEMU YA PILI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai) Sehemu: 2 Mtunzi: Andrew Carlos Simu: 0713 133 633 Ilipoishia jana.. Alikuwa ni Jacky karudi ndani kwa ...

clip_image002Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai)
Sehemu: 2
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: 0713 133 633

Ilipoishia jana..
Alikuwa ni Jacky karudi ndani kwa hasira zote huku akishikilia chupi yangu mkonöni,
"inamaana Jef umesha sex na huyu kabla yangu...?"
Ney alinigeukia kwa mshangao huku akiwa hajiamini amini kama nimeshamzunguka ndani ya muda mfupi...
Songa nayo…
Nilimpa chupi yake kisha akanitupia yangu na kuondoka zake,nilijihisi kama amekuja na gundu flani kwani hata cku moja cjawahi kukutana na vituko kama hivi.
"hivi Jef..., embu niambie lini utaacha umalaya wako wewe...? hivi upendwaje wewe...?"
Kiukweli Ney alikuwa amechoshwa na tabia yangu lakini kidume ni kidume tena mi nikidume cha mbegu haswa.
Ney aliongea mpaka ikafikia hatua akaanza kutoa mchozi.
"ney acha kulia pliz mi ni wako tu..."
"Jef...? nalia kwasababu yako,hupendeki kwanini jamani...? Au sikuridhishi...?"
"hapana jamani sweety wangu..."
"hapana nin..? Haya na leo nakupa vyote uende tena kwa hao wengine..."
Nilichekelea ushindi kimya kimya huku tukianza mapenzi ya nguvu,mpaka mwenyewe akanikubali japo cku zote jembe huwa halichoki hata akipata madem kumi kwa siku.
Tulipomaliza nikafunga mlango kisha nikaweka funguo juu ya mlango nakuandika mesj kwa mshikaji wangu alionipa getto.
'MWANA KAZI IMEISHA THENX U KWA GETTO...'
*******
Ni cku mbili zimepita tangu nimefanya sex na wote wawili Ney na Jacky ambapo sasa mzuka ulikuwa umenirudia tena lakini kwa kutaka mademu wengine na c wale wale,nikiwa nipo home kwetu kama kawaida yangu nikaingia mtandao wa kijamii facebuk nakuanza kutafuta mtu wa kumzingua.
"Dah huyu dem anajifanyaga ananata wacha leo niingie kichwa kichwa tu"
'Hellein Mganga' ndio jina lililosomeka miongoni mwa friend wangu wa facebuk waliokuwa hewan kwa muda huu,nikamtumia mesej fasta.
'Jaman mambo...? Nimependa pozi lako kwenye pic...'
Haikufika muda akawa ameshairudisha majibu.
'thenk u friend..'
Ikawa kama kosa kurudisha majibu kwa kidume mimi.
'...c vibya nikaskia japo sauti yako sa hiv kabla cijalala my friend'
' kivipi...? Hivi hivi kwa mesej inatosha Jef...'
Alininyong'onesha lakini kidume mimi ckukata tamaa zaidi ya kumkazia.
'...pliz japo unibip basi, my number ni 0713133633...'
'Nimesema noouw.., G9t...!'
Dah..! inamaana ndo nshatoswa tena hivi jamani, nilitafakari mara mbili mbili bila kupata majibu, mara cmu yangu ikaita,kucheki nakutana na namba ngeni, ikabipu then ikakata fasta,amani na furaha ya ajabu ikaanza kunijia nakuamini mtoto kashaingia laini, nikapiga ile namba fasta kwa mbwembwe zote.
"helloow beiby...!"
"dah mwana cku hizi tunaitana beib...?"
"ahh..! sorry mwana nani mwenzangu..."
"acha mambo ya kisenge..."
Mara ile cmu ikakatwa kumbe alikuwa ni mshkaji, baada ya hapo nikakutana na missed call namba nyingine tena ambayo siifahamu,
"yale yale yatakuwa..."
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikiinyanyua tena cmu yangu nakuipiga kwa mzuka wa hali ya juu huku nikiilegeza sauti yangu kama mwanzo.
"hellow...!"
"yap mambo.."
"Oops..! naongea na nani mrembo...?"
"helleiner..!"
"Omg... inakuwaje pande hizo..?"
"freiish...!"
"nikwambie kitu helleiner...?"
"yap...!"
"ua so sexy more dan sex..."
"thenx Jef.."
"vyip umevaa nini ucku huu..."
"only 9t dress..."
"...i wish nikuöne cku moja da way ulivyo coz una swagga, unajua how to dress dah..! hivi una date na nani vile....?"
"whaaaaaaaaaaaaaattt..?"
Alikata simu,nakunifanya nibaki na kigugumizi.
"...hapa sikubali hata kidogo mpaka kieleweke..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiinua simu yangu kwa kupiga tena kwa mara ya pili, iliita bila kupokelewa nikajaribu tena kwa mara ya pili ndio akapokea,
"...hellow helleiner...!"
"enh...? Unasemaje...?"
"mbona umenikatia cmu jamani...?"
"Jef..,sikia nikwambie,nawaogopa sana wanaume wa huku facebuk,kwanza ni waongo..."
"lakini mi siko hivyo,kwanza mi ni rafiki yako tu.."
"hata kama...! Umeniuzi sana uliponiuliza natoka na nani kwani niliyekuwa naye nilimpatia humu humu facebuk na akanitenda vibaya..."
"ooh so sorry...!"
"thanx jef..."
"helleiner...,naona kama tu change mada vile coz mi mwenyewe cpendi haya mambo kihivyo..."
"poa..! poa...!"
"ujue napenda sana kuwa karibu na friendz kushare nao idea mbali mbali..."
"waooohh...!"
"yap..!, so kama vip ningependa kesho tuonane..."
"usiwe na shaka Jef,we niambie tu tumit wapi...?"
"ok,we kesho saa 8 mchana tukutane pale mgahawa wa facebuk kinondoni..."
"pouwa G9t hellainer...."
"u 2..."
Yeeeees...!,nilikata cmu huku nikiwa nafuraha za ajabu nikiongea maneno maneno ya ajabu,
"...aliweza Obama akawa Rais sembuse mimi..."
Nilivuta shuka langu nakujifunika tayari kwa kupata usingizi.
~ Kesho yake saa 8 mchana ~
Kama kawaida yangu yakutupia nilijipigilia tisheti yangu ya mistari ya pinki huku nikivaa suruali model na chini supra ya pink dah i wish kama ungenichek kidizain vile,
"leta Juicy ya mango..."
Fasta fasta nikaagiza kwa mhudumu.
Juicy ikaletwa kwa mapozi nikaitupia huku namsubiria mtoto helleiner mara,
"aaah Jef my love upo...?"
"mhh beiby shwari...?"
Dah nilijiona kama nagundu flani vile kwani Ney aliniona na ndiye aliyenifuata hadi hapa nilipo cjui hata alikuwa anaelekea wapi ikabidi nizuge ili aondoke,
"Ney..., pliz cna hata muda mrefu hapa"
"kwani unaenda wapi sweety wangu..."
"Ney naelekea pale ATM sina pesa.."
"usijari leo nina pesa hata ukiniambia twende wapi naenda kukuhudumia..."
Yaani Ney alikuwa mbishi utadhani alikuwa anajua inshu yangu ya mi kuwa hapa.
Tukiwa bado tunapiga story na ney huku tukinywa juicy,nikachomoka nakuelekea choöni mara moja kukojoa, ile narudi tu nakutana uso kwa uso na helleiner kiti cha pembeni kabisa na upande wa pili yupo ney niliomwacha pale huku kofia na miwani yangu vikiwa pale juu ya meza
"...mi ndio Jef Ryder bhana wataniweza nini hapa..."
Nilijipa moyo huku nikimfuata helleiner nakumwacha Ney kama vile simjui.
"mambo Helleiner..."
"safi tu Jef,vipi umefika saa nyingi enh...?"
"dah..! hapana wala hata siyo sana vipi..! agizia..? unakunywa nini..."
"juicy inatosha..."
Ile nageuka tu kumwita mhudumu mara macho yangu yakakutana uso kwa uso na Ney akinifuata mezani nilipo na Helleiner....
"wee Jef..?
"...haya nidanganye tena sasa..? Na huyu ni nan..?"
Nilibaki mdomo wazi huku tukimtolea macho Ney kama vile hatumjui.
"we dada vipi unamatatizo enh...?"
"Jef unaniambiaje..?"
Ney alikuwa ni mwepesi sana wa hasira pale pale machozi yakaanza kumtoka huku akitupa kofia yangu na miwani nakuniacha pale na helleiner.
"bora liende huko..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimgeukia helleiner.
"sorry helleiner kwa kilichotokea, c unajua wasichana wa uswahilini wakikuona umependeza lazima wakuzingue.."
"usijari Jef ondoa shaka na mimi kabisa"
Tuliendelea kupiga story pale lakini malengo yangu yote hayakuwa vile,
"enh nikuulize kitu helleiner...?"
"uliza tu usijali"
"unasoma au...?"
"yap nipo chuo.."
"dah the same to me lakini mi nipo cbe, vip kwani wewe upo wapi..?"
"nasoma IFM.."
Hapa leo lazima kieleweke
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikilikodolea jicho la helleiner,tulimaliza juicy pale kisha kilichofuatia,
"helleiner ningependa ukapajua japo ninapoishi"
"Usijali Jef hata cku nyingine.."
"nou jaman pliz pliz..."
"jef nawe,embu niambie unaish wapi...?"
"hapo tu magomeni wala c mbali kutokea hapo..."
"ok twenzetu lakini hatutakaa c kupajua tu.."
"yap...!"
Sikuamini macho yangu kwani nilimuongopea helleiner tukaenda magomeni huku akijua eti ni home kwetu kumbe kwa mshikaji getto,fasta nikamtumia mesej kumuweka sawa.
'OYA MSHKAJI NIKO NJIANI PLIZ FUNGUO KAMA KAWA JUU YA MLANGO NAKUJA NA MTOTO HUKO'
* baada ya nusu saa *
Tayari kidume mimi nilikuwa mitaa ya migomigo kucheki taimu yangu ilikuwa kama mida ya saa 11 kasoro,
"Jef,nikuulize kitu.."
"uliza tu..."
"embu niambie unaishi na nani huku tunapokwenda..?"
"nipo na kaka yangu mkubwa ila amesafiri kwa muda yupo south africa atarud mwezi ujao.."
Nilimdanganya huku tukiingia ndani,niliingia kwa mbwembwe zote,
"karibu friend hapa ndo home...!"
"enh pazuri...."
"kawaida tu...."
Fasta fasta nilielekea mpaka chumbani huku nikiweka mazingira fresh kisha nikarudi mpaka sebuleni nakukaa karibu kwenye kochi moja huku tukipiga story za kawaida.
Uzalendo ukaanza kunishinda kidume mimi kwani nilijikuta napiga story huku mkono mmoja kila mara nikiuweka mapajani mwa helleiner,hakuonesha mkali hivyo ukawa mwanya kwangu wa kuzidisha kumshika hadi nikajikuta nataka nimkumbatie,
"noo..! noo...! noo..! noo jef.., unataka kufanyaje...?"
"amm.. mm.. mh.. mh.. mh... Sifanyi chochote"
"...na hapa pajani kwangu mkono wako unafuata nini...?"
"ah helleiner kawaida tu mbona ,but nikwambie kitu..?"
"yap sema..."
"pliz japo nikubusu shavuni then tuondoke..."
"what...?, unasemaje...?"
nilijikaza kiume bila kuogopa chochote kwani jef ryder huwa hashindwi kitu kwa mademu tena kama hawa.
"haya nibusu tuondoke..!"
Nilimbusu huku nikimwacha akisisimka mwili wote nakujikuta akiropoka.
"jef....?"
"nilishangaa analeta mdomo wake kwangu nakumtupia romance, nilinogewa huku mikono yangu nikiishusha mpaka kifuani mwake nakuanza kushika shika matiti yake huku akianza kutapatapa.
"jef, chezea pote kuanzia juu mpaka kifuani, ila kuanzia kitovuni mpaka chini pliz niache usiguse..."
"yap mambo c ndo hayo kiulaiini..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimshika matiti nakuanza kumnyonya kuelekea kitovuni,kila nilipotaka kusogea maeneo yetu yale alikuwa mkali sana.
"jef inatosha basi.., basi.."
"nou...! nou..! jaman pliz"
Kila nikimshika mapaja alikuwa mbishi mpaka baadae kabisa akakubali kuzivua nguo zake huku akibakiwa na chupi tu,
"jef, niambie kwanza utakuja utanisaliti...?"
"ondoa shaka na mimi kabisa pliz ntakuwa wako daima..."
Nilimuongopea huku nikivua nguo yangu nakubakiwa na boxer tayari kwa kutaka ku sex.
"jef nimetokea kukupenda..!"
"hata mi pia.."
"nikwambie kitu jef..?"
"niambie tu.."
"tuta sex siku nyingine pliz..."
"why isiwe leo jaman helleiner...? Nitateseka usiku helleiner mpenzi..."
"na bleed ndo mana nakwambia hivyo jef, cku nyingne tutasex niamini pliz.."
Niliona kama ananidanganya hivyo kilichofanyika nikamlegeza upya mpaka akalegea na nilipomvua chupi tu nilikutana na pedi tena ina damu damu nikiwa bado nashangaa mara ile nachungulia dirishani tu macho yangu yakakutana na tax ikishusha mizigo kwa nje huku nikimshuhudia kama maza ake na mshikaji aliyeniachia getto akishuka kwenye ile gari...

***** Haya Jeff kapatikana tena. Kamuongopea Helleiner na yupo Gheto kwa rafiki yake na Rafiki nini kitatokea..
**** Je ni kweli mama wa mshikaji wake Jeff aliyemuona akija? Na Jeff atafanikiwa kulala na Helleiner??
** Kila siku simulizi hii inazidi kunoga nakuwa nzuri. Ewe Msomaji endelea ku LIKE na ku COMMENT simulizi hii kila itakapokuwa ikitoka bila kusahau ku SHARE kwa marafiki zako wengi zaidi..

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top