Jamaa kutoka Manzese ambaye amefanya vizuri sana na Ngoma yake ya MUZIKI GANI ambayo amemshirikisha DIAMOND, NAY WA MITEGO a.k.a TRUE BOY.
Kwa sasa ametengeneza jisongi lingine linaitwa SALAMU daah hii ngoma ni hatari sana coz jamaa kawachana watu balaa, kama ilivyo kawaida yake.
Me nimepata muda mzuri wakuisikiliza sasa wewe jipange kucheki nayo wiki hii hapa hapa, kaa mkao wa kula….
Tags
HABARI ZA WASANII