Unknown Unknown Author
Title: HILI NDILO JIWE LA AJABU HAIRUHUSIWI KULIPANDA WALA KULISOGELEA!! KWANI NI HATARII
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma Maana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa" Ni jiwe pekee kubwa Mko...

clip_image001

Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma

Maana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa"

  1. Ni jiwe pekee kubwa Mkoani Ruvuma,2.
  2. Lina vyanzo vingi vya maji chini yake,
  3. Ni ngumu kulipanda na ukithubutu yatakayokukuta ni juu yako na tayari Mzungu mmoja kapoteza maisha
  4. Ni ngumu kulizunguka,
  5. Hutumika kwa matambiko kwa baadhi ya koo,
  6. Kuna watu maalumu wanaotoa maelekezo kwa yeyote anayetaka kulifikia ama kupanda,
  7. Ni kivutio kikubwa kwa wageni wachache ambao hutembelea Litembo, Maguu, Hagati nk huko Mbinga,
  8. Linaheshimika sana na wakazi wanaolizunguka jiwe hilo,
  9. Sehemu kubwa ya watu wananchi wanaolizunguka  hawajawahi kulipanda wala kulisogelea kwa hofu,
  10. Jina la jiwe hilo ndilo jina la Tarafa ya Mbuji wilayani Mbinga.

Waweza kwenda mwenyewe ukashuhudie maajabu ya jiwe hili kama ukiwa mtalii wa ndani na kushuhudia kwa macho yako na kujua zaidi ya maajabu yanayopatikana katika eneo hilo kwa ujumla.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top