VODAFONE WAUNDA CHAJI ZA SIMU ZILIZO NDANI YA NGUO

clip_image001Kampuni ya simu ya Vodafone kwa kushirikiana na chuo kikuu cha Southampton cha nchini Uingereza wamefanikiwa kutengeza chaji za simu zijulikanazo kwa jina la “Power Pocket” ambazo zitamwezesha mtumiaji wa simu ya Vodafone kuchaji simu yake kwa kutumia nishati ya joto la mwili wake.

Hii teknolojia mpya itawasaidia watumia wa simu aina ya Vodafone kuchaji simu yake akiwa katika mazingira ambayo hakuna umeme.

SOURCE: DAR24

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post