Unknown Unknown Author
Title: VIDEO YA MAHOJIANO YA MTANZANIA ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA EGYPT
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa zaidi ya wiki moja iliyopita habari zilisambaa kwamba binti Mtanzania aliekamatwa na dawa za kulevya nchini Misri angenyongwa siku za ka...

clip_image001Kwa zaidi ya wiki moja iliyopita habari zilisambaa kwamba binti Mtanzania aliekamatwa na dawa za kulevya nchini Misri angenyongwa siku za karibuni kutokana na hizo dawa alizokamatwa nazo.

Baadae Balozi wa Tanzania Egypt ambae alikanusha taarifa za kunyongwa na akakubali kwamba kweli kuna Watanzania wawili wamekamatwa ambao ni huyo msichana na ndugu yake wa kiume ambao ni wakazi wa Magomeni Dar es salaam na kwamba wanashikiliwa na polisi huku wakisubiri kesi yao.

Leo hii, pata nafasi kuona video ya mahojiano ya TV na msichana huyu ambae anadai alikwenda Misri kumtafuta binamu yake, begi alilokamatwa nalo ni lake ila alikua hajui kama lina dawa za kulevya.

Inaanza na kiarabu baadae anahojiwa kwa kiingereza adai yeye ni Muoman na mama yake ni Mtanzania SIKILIZA MAHOJIANO

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top