Walimu zaidi ya 200 wameandamana hadi katika ofisi za halmashauri ya jiji la Mbeya, wakidai walipwe mapunjo ya mishahara yao baada ya kupandishwa madaraja, fedha za nauli kwa ajili ya likizo pamoja na kupinga vitisho wanavyotolewa na maofisa wa jiji hilo wakati wanapojitokeza kudai haki zao.
Source: ITV DAIMA
Tags
HABARI ZA KITAIFA