VIDEO: MEYA AZIMIA BAADA YA KUPIGWA BOMU NA POLISI WA FFU

clip_image003Meya wa mji wa kampala bwana Erias Lukwago, amelazwa hospitalini nchini Uganda, baada kutumbukizwa cha machozi ndani ya gari lake,inasemekana polisi wa kutuliza ghasia FFU nchini Uganda ndio waliousika na kutumbikiza kombora la kutoa machozi katika gari la mheshimiwa huyo.

Walioshudia tukio hilo wanasema mmojawapo wa FFU a.k.a( kina ras makunja)alitumbikiza kombora katika gari la mheshimiwa na kumsababishia maumivu makali. Meya huyo alikuwa katika maandamano mjini kamapala.

Pata picha kamili KATIKA VIDEO HII

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post