Unknown Unknown Author
Title: TAMKO LA CHADEMA KUHUSU SHAMBULIO LA BOMU ASEMA “HATA MKINIUA MIMI AU LEMA BADO CHADEMA ITAKUWEPO”
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambae pia ni Mbunge wa Hai na Kiongozi Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh...

clip_image001Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambae pia ni Mbunge wa Hai na Kiongozi Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh Freeman Mbowe akitoa tamko la chama chake jioni ya leo katika hoteli ya Kibo Palace ya Jijini Arusha kufuatia tukio la kushambuliwa kwa mkutano wa Chadema jana kufunga kampeni za udiwani kwa Kata nne za Arusha Mjini kwa bomu la kutupa kwa mkono, risasi za moto na mabomu ya machozi, tukio lililopelekea vifo vya watu watatu na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa.

Mbowe asema tukio ni la kisiasa na lilipangwa makusudi  adai hata wakimuua yeye au Lema Chadema bado itaendelea kuwepo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top