STEPS YANOGESHA TUZO ZA BONGO MOVIE 2012-13

clip_image001Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps, Diresh Solanki, akimpa tuzo msanii bora wa kiume katika tasnia ya filamu nchini, Jacob Steven 'JB' wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudhuriwa na wasanii wengi nchini hii ni kwa mara ya kwanza Steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa zikitolewa kila mwaka.Mzee Majuto akipokea Tuzo ya msanii bora wa uchekeshaji.Pazia la Tuzo za Steps Bongo Movie Awards likiwa wazi baada ya kufunguliwa na waziri wa Sayansi na Teknolojia Makame Mbawala.Msanii Stive Nyerere akipokea Tuzo.

CREDIT TO GPL

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post