Baada ya kukaa kimya kwa kipindi cha muda mrefu , muigizaji mkongwe wa filamu maarufu za action Arnold Schwarzenegger, ameamua kurejea upya katika ulingo huo huku 'Terminator 5' ikitegemewa kurekodiwa mwezi January mwaka ujao.
Hii itakuwa ni mara ya 4 kwa mcheza filamu huyo kushiriki katika movie hiyo baada ya kushindwa kushiriki katika Terminator 4 kutokana na majukumu ya u-Governor wa Califolirnia wakati inatengenezwa.
Tags
HABARI ZA WASANII