Unknown Unknown Author
Title: MSANII RECHO AZABWA BONGE LA KIBAO:MACHOZI YAMTIRIRIKA BILA KUPENDA:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rachel Haule ‘Recho’. MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ alijikuta akichezea kibao cha ukweli na kusababisha aangue kilio...

clip_image002Rachel Haule ‘Recho’.

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ alijikuta akichezea kibao cha ukweli na kusababisha aangue kilio wakati alipokuwa akirekodi sinema. Akizungumza na Stori 3, sosi aliyeshuhudia tukio hilo lililotokea maeneo ya Mwenge, jijini Dar alisema msanii huyo alikuwa katika kurekodi moja ya vipande vya sinema yake mpya lakini kutokana na matakwa ya filamu hiyo kuonesha hisia za kulia, ilibidi Baba Haji amshushie kofi fastafasta.
“Siku hiyo sikuwa kwenye ‘mudi’ sababu kuna mambo yalinichanganya, nilishindwa kuvuta hisia za kulia ndipo niliposhtukia kofi la Baba Haji na machozi yalinitoka yenyewe, hii kazi yetu hii we acha tu,” alisema Recho.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top