JK AMWAPISHA MWANTUMU MAHIZA KUWA SKAUTI MKUU WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA

clip_image001Rais Jakaya Kikwete akimwapisha, Mwantumu Mahiza kuwa Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania katika hafla iliyofanyika leo Ikulu, Dar es Salaam.JK akimkabidhi Mahiza zana za kufanyia kaziJK akisalimiana na Dk. Salim Ahmed Salim aliyehudhuria hafla hiyoJK akipiga picha na MahizaJK akiwa na Mahiza, Dk. Salim Ahmed Salim pamoja Jaji Kiongozi, Fakih JunduJK akiwa katika picha ya pamoja na skauti wakiwemo wabungeJK akipiga picha na familia ya Mwantumu MahizaJK akiwa katika picha ya pamoja na wabunge SkautiJK akizungumza na baadhi ya wabunge skauti waliohudhuria sherehe za kuapishwa Mwantumu MahizaJK na Mahiza akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa UWTJK akiwa katika picha ya pamoja na Maahiza pamoja na Skauti Mkuu aliyemaliza muda wake, Idd KipinguRais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na skauti wabunge baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kushoto) kuwa Kamishna Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania, Ikulu, Dar es SalaamMahiza akipongezwa na skauti wenzieKipingu akimvisha  kofia Mahiza

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post