CHID BENZI ASEMA “WASANII WENGI WAONGO”

clip_image001Rapper Chidi kutoka LaFamilia/ILALA awafungukia wasanii wenzie kuhusu uongo na maneno ya chini chini yanayoonekana kuendelea lakini inakuwa tofauti na kwa mashabiki wao hasa wanapokuwa jukwaani … Kitendo hiki, Chidi Beenz amekiweka kama kutenganisha mashabiki …

Chidi ameandika, “Wasanii wengi waongo.nikiwemo labda,ila tunajua kazi kweli tukiwekwa pamoja jukwaani na watu wakitazama. Mashabiki tunawatenganisha kwa story nyingi zinazotokea lazima wachague upande ila Muhimu Kazi Ifanyike. Fanya Kazi.take care”

Katika kumalizia ujumbe wake kwa wasanii wenzie, Chidi amewataka kufanya kazi na kuwa waangalifu.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post