Wanamchi wa maeneo ya mikese, wamekusanyika na kuusimamisha msafara uliobeba mwili wa marehem Ngwea kwa kutaka na wao wamuage, akizungumza na Cloud Fm "Moe Fire" amesema walikutana na kundi la watu na kudhani labda kuna tatizo. Baada ya kusimamishwa na trafic na kuuliza tatizo ni nini, Trafic alisema kuwa wananchi hao wamekusanyika na ili kuuaga mwili wa marehem Ngwea na kudai kitendo hicho kikifanyika ndio amani itapatikana.
Kilichofanyika ni kuruhusu watu wale walishike gari lililokuwa na mwili wa Ngwea na kuondoka, lakini baada ya kuondoka, zaidi ya pikipiki 50 walizozikuta pale ziliongoza msafara huku magari mengine pia yakiunga msafara huo
Home
»
HABARI ZA WASANII
» BREAK NEWS: WANANCHI WA MIKESE WAGOMA KUTOKA BARABARANI MPAKA WAMUAGE NGWEA
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.