SALAMU ZA MEI MOSI KUTOKA KWA NGOMA AFRICA BAND KWA WADAU WOTE.

004

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU yenye makao kule Ujerumani,inawatakiwa kila la heri na fanaka wadau wote katika kusherehekea siku kuu ya wafanyakazi duniani "Mei Mosi" (1st May).

Pongezi kwa Wafanyakazi wa sekta zote kuanzia wachuuzi,akina mama nitilie, wafanyakazi viwandani, maofisini, mashambani, wapagazi, wakokota mikokoteni n.k, Kazi ni kazi !

Baada ya kazi tufurahie Mei Mosi kwa kupata burudani kamili ya muziki kama vile "Bongo Tambarare" na Supu ya mawe, n.k at FFU camp

click http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post