HIVI NDIVYO ILIVYO MTWARA LEO HII.

clip_image001
clip_image001[5]
clip_image001[7]
clip_image001[10]
Hivi ndivyo ilivyo kuwa asubuhi ya leo mjini Mtwara. shughuli za kijamii za simama watu wako majumbani tu. Habari zilizotofukia katika blog hii zinasema magari yote yaliyokuwa na safari mjini humo yamezuiliwa kuendelea na safari hiyo Mjini Lindi ambapo yapata Mabasi manne hadi sasa yakiwa na abiria waendao Mtwara wasimama hapo hadi haliya usalama Itakapoimarishwa. hakuna gari la abiria linaloingia mjini mtwara wala linalotoka mjini humo kwa sasa.
Endelea kutembelea Blog hii kwa taarifa zaidi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post