Hii video ni ya party ya kwanza ya mwigizaji Kajala kukaribishwa uraiani ambapo ilifanyika Ambassador Lounge Dar es salaam April 6 2013, Kajala alilipiwa faini ya milioni 13 na mwigizaji Wema Sepetu na kumuokoa na kifungo cha miaka 7 gerezani baada ya kupatikana na hatia.
Tags
HABARI ZA WASANII