Wasanii pia mnakaribishwa uwanjani ! umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) kufanya sherehe za miaka 49 ya muungano wa bara na visiwani, kama linavyoonekana tangazo hapo.
Watanzania wote na marafiki wa tanzanzania mnaoishi ndani na nje ujerumani mnakaribishwa.
"Umoja ni Nguvu ! Utengano Ni Udhaifu"
Chereko Chereko na mwenye mwana Watanzania jitokezeni kwa wingi
kwa mawasiliano zaidi at kamati.utu@googlemail.com
simu +49(0)1737363422
Tags
MUSIC NEWS