MSAADA UNAHITAJIKA KWA MTOTO ABDALLAH

clip_image001Mtoto Abdallah anasumbuliwa na tatizo la MOYO, Moyo wake ni Mkubwa, Kwa sasa Amelazwa Katika Wodi ya Watoto Katika Hospitali ya Mnazi mmoja, ambapo anaendelea kupata Matibabu lakini LENGO ni kusafirishwa Nje yaNchi. Pia Anasumbuliwa na Maradhi ya Tumbo Kujaa Maji ambapo analazimika Kutolewa Maji Kila Baada ya Siku 3.clip_image001[14]Kwa Yoyote Anayeweza Kutoa Kiasi chochote Cha Msaada Unaweza Kutumia Namba hii 0774 64 87 80 kuwasiliana Mama Mzazi wa Abdallah.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post