Manchester City wanapambana na Juventus katika kumnasa Midfielder Wa Sampdoria, Pedro Obiang Mwisho wa msimu Huu.
Obiang Mwenye 21 Amehusishwa na club ya Man City Baada Ya Game Yake Kumfurahisha Roberto Mancini. Star Huyu tayari ameichezea Timu ya taifa ya Spain chini ya Miaka 21 na baada ya muda atapewa nafasi kwenye timu kubwa. Man City walianza kumfukuzia mwanzo wa mwaka huu na kwa sasa Juventus wameingia kwenye orodha ya timu zinazo mtaka.
Tags
SPORTS NEWS