Mh. Peter SelukambaMara baada ya Naibu Spika Mh. Job Ndungai kumpa nafasi ya kuchangia juu ya hoja ya sakata la Lwakatare na Ulimbomka, Mh. Selukamba alijikuta akisema “FUCK YOU”.
Hii ni mara baada ya kuzongwa na minong’ono ya baadhi ya wabunge, minong’ono ambayo ilikuja mara baada ya baadhi ya Wabunge kuona kwamba alichokuwa anakiongea Mh. Serukamba ni propaganda na marudio ya kile kile ambacho wabunge wengine walichangia.
Hebu msikilize hapo chini
SERUKAMBA by newsaddict HAPA AKIOMBA RADHI
MHESHIMIWA AKIOMBA RADHI by newsaddict
Tags
HABARI ZA KITAIFA