Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo kuongoza Watanzania kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Pamoja naye kwenye gari hilo la wazi ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange
Nyomi si ya kawaida hata pa kutema mate hakuna
Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru
Tags
HABARI ZA KITAIFA

Ndege nazo hazikiwanyuma, zilipita kwa miondoko tofauti tofauti uwanjani hapo.

