Wanasema P Diddy ni miongoni mwa mastaa wenye watoto wengi waliopata na wanawake tofauti lakini ni staa ambae pamoja na utajiri alionao unaomfanya aingie kwenye 10 bora ya wakali wa Hiphop wenye hela duniani, bado anatenga muda wake kuwahudumia na kukaa na watoto wake wote, zifuatazo ni tweets zinazoambatana na picha za watoto wake mapacha alipotoka nao.
Tags
HABARI ZA WASANII