ARSENAL YAFUNGWA WHITE HARTLANE 2-1

All smiles: Arsenal manager Arsene Wenger embraces Tottenham boss Andre Villas-BoasKocha wa Arsenal, Arsene Wenger akisalimiana na kocha wa Tottenham, Andre Villas-BoasOpener: Gareth Bale beat Arsenal's offside trap to score the first goal at White Hart LaneGareth Bale akivunja mtego wa kuotea wa Arsenal na kufunga bao la kwanza Uwanja wa White Hart LaneJoy: Spurs players celebrate their team's 2-1 victory in the north London derby against ArsenalFuraha: Wachezaji wa Spurs wakishangilia ushindi wa 2-1 wa timu yao dhidi ya ArsenalnePounce: Aaron Lennon took advantage of some poor Arsenal defending to double Spurs' leadAaron Lennon alitumia udhaifu wa safu ya ulinzi ya Arsenal kufunga bao la pili

Tottenham imeiacha kwa pointi saba Arsenal baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mechi ya wapinzani wa jadi wa Kaskazini mwa London kwenye Uwanja wa White Hart Lane.
Mabao mawili yaliyopatika dakika mbili kabla ya mapumziko yalitosha kumpa ushindi Andre Villas-Boas' na vijana wake.

VIKOSI...WAFUNGAJI

Tottenham: Lloris, Walker, Dawson, Vertonghen, Assou-Ekotto, Dembele (Livermore 87), Parker, Lennon (Gallas 90), Bale, Sigurdsson, Adebayor (Defoe 66).

Benchi: Friedel, Naughton, Holtby, Carroll.

Wafungaji: Bale dk37, Lennon dk39.

Kadi za njano: Vertonghen, Adebayor, Walker.

Arsenal: Szczesny, Jenkinson (Rosicky 60), Mertesacker, Vermaelen, Monreal, Ramsey, Arteta(Podolski 77), Walcott, Wilshere, Cazorla, Giroud.

Benchi: Mannone, Koscielny, Oxlade-Chamberlain, Coquelin, Gervinho.

Mfungaji wa bao: Mertesacker dk51.

kadi ya njano: Ramsey.

Mashabiki: 36,170.

Refa: Mark Clattenburg (Tyne & Wear).


Previous Post Next Post