HII NDIO OFISI YA ENDLESS FAME FILMS - WEMA SEPETU

Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameonesha picha za kwanza za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame Films. Kampuni hiyo inatarajia kuzinduliwa hivi karibuni.

Tazama picha hizi zinazoonesha kona mbalimbali za ofisi hiyo ya nguvu. Hongera sana Wema.wema ofis

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post