Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mte, Juma Penza ambaye amefariki dunia, anazikwa leo saa kumi katika makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam. Uhuru FM kwa sasa Mkurugenzi wake ni Mikidadi Mahmoud. Mungu aiweke pema peponi roho ya Mzee Penza. Amin! Ina Lillah Waina Ilayh Raj-uuna
Tags
TANZANIA