NIJUZE NIJUZE Author
Title: RAIS WA MASHAROBARO AMKANDIA FID Q
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Msanii Bob Junior a.k.a Raisi wa Masharobaro amenukuliwa akisema kuwa hataacha kukatika mauno katika video na shoo zake kwa kuwa vinawavuti...

image

Msanii Bob Junior a.k.a Raisi wa Masharobaro amenukuliwa akisema kuwa hataacha kukatika mauno katika video na shoo zake kwa kuwa vinawavutia mademu na kuongeza kuwa hajali kama atazomewa na masela kwa kuwa masela hawanunui albamu hata kama ni ya Fid Q wanaejidai kumpenda.

Bob Junior alisema,''Siachi kukatika viuono,vinavutia mademu..sijali kama watazomea kwa kuwa masela hawanunui album..tena hao wanaojifanya wasela hawana hata album ya Fid Q wanaejidai wanampenda''

Kauli hii imechukuliwa kwa hisia tofauti na wadau mbali mbali wa muziki wengi wakisema kuwa ni ufinyu wa fikra na inaonyesha udhaifu wa Bongo fleva.

Kutoka katika Facebook Page ya Fid Q ameweza kujibu hivi:''Real talk, Bob Junior put the ice on cake on that article.. Na niukweli wengi wenu hamna hard copies of my executed Lp's! I sincerely pray that others will be inspired na hiyo kauli ya Bob Junior! The focus for me when making or listening to music has always been what's being said.. Sasa hakuna asiyejua kama huwa ninaspit vitu vyenye maana tu kwa ajili ya bright future ya kila msikilizaji wa muziki wangu.. Sasa howcome mnashindwa kuzingatia kama ninajukumu la kuweka mkate Mezani?? Listen to the lyrics.. Benefit from the message.. But most of all KEEP THE FAITH!! I got bills to pay Yo!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top