BAADA YA MSANII SAJNA KUKOPY IDEA YA MZIKI GANI MSIKILIZE NEY WA MITEGO ALICHOKISEMA

NEY NA DIAMONDHivi karibuni msanii Sajna ametoa wimbo mpya unaokwenda kwa jina la MPIRA GANI ambayo ameshirikiana na msanii mwingine ajulikanae kwa jina la FREGE, kama umepata bahati ya kuusikia wimbo huo hauna tofauti kabisa na ule wa wasanii wakali bongo hapa niki mkusudia Ney wa mitego na Diamond ambao walishirikiana katika ngoma yao ya HUU NI MZIKI GANI, nisikuchoshe hebu tumsikilize mwenyewe Ney wa Mitego analizungumziaje suala hili la dogo kucopy idea yao.Baada ya tukio hilo je Sajna yeye mwenyewe anasemaje kwanini aliamua kufanya hivi tena bila ya kuwahusisha wenye ngoma yao na mwisho wa siku ngoma ikawa hewani. Hebu tumsikilize naye anasemaje.

Hizo ndizo kauli zao ndugu, nawapongeza sana hasa Ney wa Mitego kwa Uamuzi wake wakujua kuwa Dogo ni mmoja wa Mashabiki wake na Kwa upande mwingine naye ni Msanii ambaye anatafuta namna ya kutoka hivyo jambo zuri ni ushirikiano katika Inderstry hii ya Mziki.. BIG UP SANA MKUBWA NEY WA MITEGO

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post